Tuesday 14 February 2012

Viatuzi vya shughuli na mtoko

Wedges are forever in shoes , just lIke diamonds in precious stones, depending on how they are made , wedges are always on point . Wedges zinawafaa sana watu ambao hawapendi kisigino chembamba lakini wanataka kuvaa viatu ambavyo viko juu,  pia ni nzuri kwa sie tunaopenda michuchumio regardless of the style .  Viatuzi hivi unaweza kuvivaa mchana au jioni , the choice is yours , they can be worn with a dress , skinny jeans , leggings  etc.
A beautiful pair for the special event ,  this can be a wedding , nite out with friends or any other event as  I have mentioned , its comfortable and very dressy  . Rangi zake zinakuwezesha kukivaa na nguo zaidi ya tatu .
Hot pink , is like new black , kwani unaweza kuitumia kublock the colours kwenye nguo zako pia , unaweza kuitumia kungarisha nguo haswa pale unapokuwa umevaa dark colours kama nyeusi , dark blue , dark purple n.k
Ukiwa kama mwanamke , ni jambo la muhimu sana kuhakikisha kwamba unaponunua viatuzi vyako , uwe unachanganya rangi , yaani uwe unanunua viatuzi vya rangi mablimbali kwani hii itakusaidia kutoka tofauti kila siku na wakati wote.
I love the mixture of tangerine orange and nude is beautiful , yaani hapa unaweza kukaamu kuvaa na viambatanisho  vya orange au gold na ukatoka poa.    
VIATUZI HIVI VINAPATIKANA VIATUZI KWA BEI POA KABISA , KARIBUNI.

1 comment:

  1. olivia nataka hiki kiatu cha tangarine orange na nude, namba 38, nakuja leo jioni dukani kwako..

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...