NDUGU MTEJA , KAMA ILIVYO KAWAIDA YETU MASPRISE HUWA HAYAISHI VIATUZI , BASI NAPENDA KUWATAARIFU KWAMBA KESHO 17/03/2012 , KWENYE DUKA LETU LILILOPO SEA VIEW OCEAN ROAD AU A.K.A VIATUZI NO. 1 KUTAKUWA NA PUNGUZO LA ASILIMIA 50%.
PUNGUZO HILI UTALIPATA KWENYE VIATUZI, VIWALOZI, VIAMBATANISHI, NA VICLUTCH . BAADHI NI MAMBO YALIYOMO KWENYE SALE KAMA YANAVYOONEKANA KWENYE PICHA HAPO CHINI , YAANI USICHELEWE KESHO SAA TATU ASUBUHIIIIII , DUKA LITAKUWA WAZI KWA AJILI YAKO.
BEI ZIMEKWENDA CHINI KABISA HADI KUFIKIA 30,000/- KWA KIATU . NJOO UJIPATIE KIATU CHAKO KIIIIPYA KWA BEI POUWA.
KARIBUNI.
hello! viatu ni vizuri sana, mm ni mdada ambaye natarajia kufunga ndoa hivi karibuni natafuta viatu vya sendoff na weddng tatizo nililo nalo nina nguu mdogo sana navaa # 5-6 ila inategemea vimetoka nchi gani na sometimes # 4 kabisa, nauliza kama mna viatu vya namba hiyo ndogo vya rangi ya gold, purple na white, naishi mbeya, ila niatakuja dar baada ya pasaka kama kutakuwa na namba ndogo nije kuangalia.
ReplyDelete