Friday, 9 March 2012

SHUKURANI

Mdogo wake na VIATUZI Sea View Upanga ameshafunguliwa , na kama ilivyo kawaida yetu tuna Viatuzi vizuri , vya aina zote kwa watu wote na bei zetu ni poa kabisa .
Leo ninapenda kusema Asante kwanza kabisa kwa Mwenyezi Mungu kwani ndie aliyeniwezesha hata nikafanikisha VIATUZI NAMBA 2  MBUYUNI , Familia yangu na Shoe lovers kwa ujumla wenu , kwani bila nyie maboss wangu mambo haya yoooote yasingewezekana.

Sina cha kuwapa bali , kuhakukisha kwamba nawaletea viatu bomba na vizuri all the time . Mungu    awabariki saaaana .

Olivia

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...