Wednesday, 18 April 2012

Michael Kors pump

Kiatu hiki ni kizuri , na sio kwa mwonekano tu bali hata jinsi kilivyo comfortable, hapa am speaking from experience , I bought it and it is worth the price kwa kweli maana nimekivaa , kama kingekuwa kinaongea kingeniomba break. 
Wengi wetu tunamjua Michael Kors kupitia saa zake ,zinazojulikana kwa jina maarufu kama boyfriends watch, mbali na saa designer huyu pia ana vitu vikali na vizuri kama Viatuzi na mikoba , ilikujione zaidi hakikisha unatutembelea mara kwa mara .

Kama umekipenda hicho kiatuzi na unakitaka , tuwasiliane , maana hiki kinapatikana kwa special oda tu...........

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...