Friday, 13 April 2012
KILI MUSIC AWARDS ... TOKA NA VIATUZI
Shoe Lover , leo ndio ile siku ya Kilimanjaro Music awards , yaani hii siku ndio kama Oscars au Grammy awards hapa kwetu . Kwa kuelewa hili , na kujua kwamba muonekano wako siku kama ya leo ni muhimu sana , Viatuzi tunataka kuhakikisha kwamba , unapendeza na kutoka vilivyo , hivyo basi karibu utembelee maduka yetu yaliyopo Sea view na Mbuyuni ili upate kiatuzi cha kuendea huko Mlimani city kwenye Music awards . Nimeambiwa kutakuwa na mambo ya Red Carpet ambapo shurti mwanadada uonyeshe kiatuzi cha ukweli na pia show itakuwa liveeee so hata wale watakaokuwa home watakuona jinsi gani ulivyotoka . Karibu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
New arrivals
hicho cha kwanza kabisa hiyo wages ya black and gold ndo bei gani?
ReplyDeleteHi. Hicho kiatu is sold out. Hiyo ilikuwa ni collection ya April kwa special order tu. Kila tunapoweka post kama kuna kitu umependa kiwahi mara moja by contacting us kwa uhakika wa kupata size yako kabla hakijaondoka.xoxo
Delete