Friday 13 April 2012

Pata Viambatanisho Viatuzi

Shoe lovers and viambatanisho lover , leo nimeona niwaletee baadhi viambatanisho vinavyopatikana dukani kwetu , necklace aliyovaa  kisura hapo juu inapatikana dukani kwetu viatuzi mbuyuni , na hereni hizo pia zinapatika dukani kwetu. Nenda na wakati na upendeze kwani viambatisho ni sawa na kiungo kwenye nguo yako kama ilivyo chumvi au limao kwenye mboga. Ziko chache , ziwahi kabla hazijaisha


Kapendezaje dada Cecy , yaani hapa wala sina mengi ya kusema , ila nakukaribisha viatuzi uje ujipatie necklace yako.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...