Thursday 12 April 2012

Harusi ya shoga yangu






Bibi harusi huyu ni shoga yangu wa miaka kibao , tulikuwa watatu wenyewe na bado tupo tangu enzi hizo za form two Shaaban Robert , mpaka leo . Last month kafunga pingu za maisha ,  kapendezaje ????? kusema ukweli  baada ya kuona hair piece yake and her accessories kwa kweli nimeamua kwamba kuanzia next month mabibi harusi mtakuwa mnapata wedding  accessories from viatuzi so as to make your day special. soooon nitawatumia picha.

Navina , sina mengi ya kusema , ila na mwomba mola akujali na akuongoze katika ndoa yako , na kama tunavyoamini na tulivyo fundishwa ni kifo tu ndio kiwatenganishe na si vinginevyo .  I love u and stay blessed.

Mabibi harusi watarajuwa stay tuned kwani viatuzi na viambatanishi wedding collection yaja very sooon.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...