Friday, 13 April 2012

Viambatanisho vya shughulini.












Wapendwa , natumaini kwamba mko wazima kabisa , Leo nimeona niwaletee viambatanisho vya kuvaa kwenye sherehe, viambatanisho hivi ni kwa watu wote yaani kuanzia bi harusi , wasimamizi na hata wageni waalikwa . Haya mambo soon yatapatikana viatuzi , lakini ili kuhakukisha kwamba unapata chako  endelea kuwa nasi na pia unaweza kuwasiliana nasi ili utoe oda yako usije ukakosa cha kwako.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...