Shoe Lovers , leo nimeona niwaletee kipengele cha jinsi ya kupangilia viatuzi vyako. Shoe rack ni muhimu sana kwa mwanamke wa kisasa , na hii huweza kutengenezwa kutoka na mahitaji yako , kama una viatuzi vingi unaweza kutengeneza shoe rack kubwa, lakini kama viatuzi vyako sio vingi sana basi unatengeneza size ya shoe rack ambayo inalingana na matumizi yako.
Tofauti na kuweka viatu kwenye uvunguni au kwenye storage bag shoe rack inakusaidia kuona na kujua ni viatu vipi haujavivaa kwa muda mrefu , vipi tunavioenda zasidi ya vingine , na vipi tugawe ili kuvipa vipya nafasi, pia itakurahisishia suala zima la usafi wa viatuzi vyako.
Hapa kwetu shoe rack kama hizo hapo juu unaweza kuzitengeneza kwa bei kati ya 250,000- 500,000
( appox). Wasiliana nami nikuelekeze ni wapi unaweza kupata vibeba viatuzi hivi.
No comments:
Post a Comment