Kiatu cha harusi kama hiki kinawafaa sana wale wasiopenda viatuzi virefu , bibi wajawazito na pia kinaweza kuwa second pair , maana baada ya kuchoshwa na kirefu unaweza kutakamani kuvaa kiatu kifupi |
A perfect pair for the bride , or even bride maids , kama colour yako ya wedding ni blue unawezakuvaa kiatu cha blue badala ya kuwa traditionla na kuvaa kiatu cheupe na ukapendeza haswaaaaa. |
Hii rangi kwa kweli huwa inanikosha roho , kiatu hiki kinawafaa sana kwa shughuli mbalimbali hata kama wewe sio bibi harusi au msimamizi , this pair is a killer and a must have. |
Bibi Harusi mtarajiwa , matron , msimamizi na hata wewe ambaye ni mwalikwa , karibu ututembelee ili ujionee collection yetu vya viatuzi vya harusi .
No comments:
Post a Comment