Tuesday, 24 July 2012

Viatuzi of the week...... Come and grab your pair


Shoe lovers , hivi ndio viatuzi ambavyo wiki hii vimenigusaaaa kiaina , kwa mwanamke wa kisasa kiatu cha gold ni lazima , kwani gold ni kama rangi nyeusi , unaweza kuivaa na vitu vingi sana . Kama bado haujanunua kiatuzi chao cha gold au ukwisha kichoka kile cha zamani njoo VIATUZI utapata be most beautiful and durable golden pair of shoes .Kwanini usiongeze pair moja ya kiatu yenye rangi tofauti na zile ulizonazo kwenye collection yako ya VIATUZI ?? I think its about that time , njoo tukusaidie kuchagua rangi moja tofauti na zile ambazo hauna , pamoja na Viambatanisho vyake.

You can never go wrong  with animal prints , one thing i know for sure animal prints kuwa haziishi fashion hata siku moja , hivyo basi ni vema ukawa na hata moja kwenye shoe rack yako .

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...