Kiatu mwenzie ni accessory leo ninawaletea accessories a.k.a viambatanisho , mbalimbali ambavyo unaweza kuvipata kwenye maduka yetu , kama ilivyo kawaida bei zetu ni poa kabisa na unaweza kujipatia accessories kwa shilingi 5,000- 35,000 . Njoo ututembelee uone kila kilichopo kwani hapa nawaonjesha kiasi tu .
No comments:
Post a Comment