Sunday 25 November 2012


Safari hii niliona kidogo nifanye photoshoot ya picha chache ili niweze kuwaonyesha baadhi ya vitu ambavyo vipo dukani. Nimefanya kazi na mdogo wangu mmoja ambaye anaitwa Viwalo  , kwa kweli ni mpiga picha mzuri na  ni mbunifu kwa kweli , tofauti na wapiga picha wengine wao wanafanyia kazi studio tuu  huyu bwana mdogo anafanya kazi zake nje ya studio and he is flexible too , na anakuletea mambo kama haya in few hours . So if you want to work with him  call him 0719130577 . Viwalo kanipigia picha za Viwalozi & Viambatanishizi chezeeeeeeeeea .Enjoy mafoto mengine hapo chini ........xoxoxo

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...