Monday, 24 December 2012

Merry Christmas

Shoe lovers na Wadau wote wa Viatuzi ninawataka kheri ya sikukuu ya Noeli na mwaka mpya. Pia naomba nichukue nafasi hii kusema asanteni sana kwa support yetu ambavyo mmetupa mwaka huu. Sina cha kuwarudishia bali kusema asanteni sana. Mungua awalinde na kuwabarki.

Pia kaeni mkao wa kula kwani sooon viatuzi na viambatanishi vya kufungia mwaka vitakuwa dukani.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...