Sunday, 17 March 2013

March Collection

Wapendwa Viatuzi vya March vimewasili , Mzigo tunafungua siku ya Jumanne 19/03/2013 saa tatu asubuhi . Safari hii Mzigo utakuwepo Kwenye Duka letu la Mbuyuni . Tizama hapo chini kuona baadhi ya picha za viatuzi vitakavyo kuwepo dukani. Karibuni. Kama ilivyo kawaida tuna size zote yaani kuanzia naomba 3 uk hadi 10 uk.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...