Tuesday, 2 April 2013

Black Tan Panel Pointed Sandal

Kiatuzi hiki ni moja kati ya vile viatuzi ambavyo tunasema ni multi purpose , yaani unaweza ukakivaa kazini , na pia ukakivaaukiwa unaenda kwenye mitoko mbalimbali. Urefu wake ni 10.5cm . Mambo haya mazurii yanakuja soon .........

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...