Tuesday, 2 April 2013

Strap pointed shoes

 
 Strap shoes ,kwa mara nyingine tena vimerudi kwenye fashion , kuna design mbalimbali za strap pointed shoes , lakini leo nimeona nianze na strap pointed , urefu wake ni 8.5 cm , kwa wale wasiopenda viatu virefu kiatu hiki kitawafaa sana. Mambo mazuri kama haya yanakuja ma mzigo wa Viatuzi wa April.

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...