Tuesday, 28 February 2012

VIATUZI NUMBER 2

 Fundi Rama akikagua Kazi yake  kabla ya kukabith duka letu jipya la viatuzi , kusema kweli fundi huyu ni  Fundi mzuri sana na yeye ndie kanitengenezea duka la kwanza , na hili la pili kama una mwihitaji akutengenezee duka na bidhaa zote za mbao wasiliana nae kwa number 0713-261123 au 0782207307.
 Muonekano wa duka letu jipya , hapa bado hatujapanga Viatuzi na kulipiga  madeco ya mwisho mwisho.
Duka la Viatuzi number 2 , litakuwa pale Mbuyuni lilipokuwa duka la Shoe lounge , karibu na u-truck  baada ya  yale mataa ya St. Peters upande wa kushoto kama ukiwa unatokea mjini , kwa kutokea Mwege duka liko opposite na kituo cha basi cha Mbuyuni .  Karibuni saaaana

No comments:

Post a Comment

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...