AU KAMA UNATOKEA MWENGE KUELEKEA POSTA DUKA LIPO OPPOSITE NA KITUO CHA BASI CHA MBUYUNI ST PETERS. IKIWA UNATOKEA MJINI , BAADA YA TAA ZA TRAFFIC ZA ST.PETER DUKA LIPO MBELE KIDOGO , UPANDE WA KUSHOTO KARIBU NA U- TRUCK. KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA NUMBER 0715-850855,0714992448,0715209700. KARIBUNI SAANA
HUO NI MWONEKANO WA DUKA LETU JIPYA , HAKIKISHA HAUKOSI MAANA KUNA MA SUPRISE KIBAO , KWANI WATEJA 50 WA KWANZA WATAJIONDOKEA NA ZAWADI .
tupe range ya bei za viatu duka jipya
ReplyDelete