Hapa hata sijui nishike kipi niache kipi , embu nishauri dada. |
Mimi naona hiki kitakufaa sana Mdogo wangu. |
Chagua chagua ikiendelea |
Conso na bi harusi wetu , nao walikuwepo , hapa walikuwa wanajadili waanzie wapiiii |
Hiki sikiachi kabisaaa , yaani lazima nikichukue . |
Viatuzi nimeshachagua sasa ngoja nitizame viambatanisho |
Hii ndiyo rangi tunayotaka , au ni urefu kama huuu ? embu kijaribu kwanza |
Jumatatu , nitakuvaa na ile suti yangu ya sketi. |
Hapa nimependeza saaana , na viko comfortable hivi acha tu....... |
Kapendezaje ???? |
Kiatu kizuri jamani , yaani kizuri sana , sikiachi kabisaaa |
Mie niko na accessories tu |
Embu nicheck wangu , unakionaje hicho kiatu ?? |
Hii inaendana na ile nguo yangu ya leo jioni , Olivia nipe hiii..... |
Kweli shoes are women best friends , imagine at this age anajua viatuzi kuna viatu vya ukweliiii |
daaaah nimependeza |
No comments:
Post a Comment