Thursday 19 April 2012

Sandals

Zebra
Silver and Tiffany blue
White and silver
Red and Black

Animal Print
Pink and Black

Silver
Light brown
Gold
Black
Brown sandal
Tiffany blue sandal
Nude wedge


Baadhi ya sandals zinazokuja kwenye mzigo wetu mpyaaaaaa, yaani safarii hii ushindwe wewe tu , ila kama nilivyosema ili kuepuka kukosa kitu roho yakp inataka tuwasiliane mapema ili nikuagizie na kikija nikuwekee kando . Bei zetu ni poa kabisaaaaa na tuna wekesha plan iliyo bora na poa kwa kila mtu , njoo tuongee.

3 comments:

  1. hellow,kiukweli napenda sana viatu amabvyo viko dukani kwako ila mimi kwa sasa sinauwezo wa kuja dar es salaam utanisaidiaje ili niweze kuvipata niko mwanza naishi na kufanya kazi huku.navaa size 7.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante san kwa kupenda viatu vyetu. Kwa bahati mbaya hatuwezi kutuma mkoani. Ila kama una ndugu au rafiki Dar, unaweza kumtuma akuchukulie kwenye maduka yetu hapa Sea view au Mbuyuni.xoxo

      Delete
  2. mambo,, jamani hivyo viatu ni kiasi gani

    ReplyDelete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...