Baadhi ya sandals zinazokuja kwenye mzigo wetu mpyaaaaaa, yaani safarii hii ushindwe wewe tu , ila kama nilivyosema ili kuepuka kukosa kitu roho yakp inataka tuwasiliane mapema ili nikuagizie na kikija nikuwekee kando . Bei zetu ni poa kabisaaaaa na tuna wekesha plan iliyo bora na poa kwa kila mtu , njoo tuongee.
hellow,kiukweli napenda sana viatu amabvyo viko dukani kwako ila mimi kwa sasa sinauwezo wa kuja dar es salaam utanisaidiaje ili niweze kuvipata niko mwanza naishi na kufanya kazi huku.navaa size 7.
Asante san kwa kupenda viatu vyetu. Kwa bahati mbaya hatuwezi kutuma mkoani. Ila kama una ndugu au rafiki Dar, unaweza kumtuma akuchukulie kwenye maduka yetu hapa Sea view au Mbuyuni.xoxo
hellow,kiukweli napenda sana viatu amabvyo viko dukani kwako ila mimi kwa sasa sinauwezo wa kuja dar es salaam utanisaidiaje ili niweze kuvipata niko mwanza naishi na kufanya kazi huku.navaa size 7.
ReplyDeleteAsante san kwa kupenda viatu vyetu. Kwa bahati mbaya hatuwezi kutuma mkoani. Ila kama una ndugu au rafiki Dar, unaweza kumtuma akuchukulie kwenye maduka yetu hapa Sea view au Mbuyuni.xoxo
Deletemambo,, jamani hivyo viatu ni kiasi gani
ReplyDelete