Friday 13 April 2012

KILI MUSIC AWARDS ... TOKA NA VIATUZI






















Shoe Lover , leo  ndio ile siku ya Kilimanjaro Music awards , yaani hii siku ndio kama Oscars  au Grammy awards hapa kwetu . Kwa kuelewa hili , na kujua kwamba  muonekano wako siku kama ya leo ni muhimu sana , Viatuzi tunataka kuhakikisha kwamba , unapendeza na kutoka vilivyo , hivyo basi karibu utembelee maduka yetu yaliyopo Sea view na Mbuyuni ili upate kiatuzi cha kuendea huko Mlimani city kwenye Music awards . Nimeambiwa kutakuwa na mambo ya Red Carpet ambapo shurti mwanadada uonyeshe kiatuzi cha ukweli na pia show itakuwa liveeee so hata wale watakaokuwa home watakuona jinsi gani ulivyotoka . Karibu.

2 comments:

  1. hicho cha kwanza kabisa hiyo wages ya black and gold ndo bei gani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hi. Hicho kiatu is sold out. Hiyo ilikuwa ni collection ya April kwa special order tu. Kila tunapoweka post kama kuna kitu umependa kiwahi mara moja by contacting us kwa uhakika wa kupata size yako kabla hakijaondoka.xoxo

      Delete

New arrivals

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...